
Balozi wa Rwanda hapa chini, Zeno Mutimura, (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dar, juu ya siku ya maombolezo hayo hapo kesho. Balozi huyo amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye inshu hiyo. Kiingilio miguu yako.
CHID BENZ, NAKAAYA KUKAMUA KWENYE MAOMBOLEZO HAYO
Wasanii wa kizazi kipya Chid Benzino na Nakaaya Sumari, wamethibisha kufanya makamuzi katika maombolezo hayo yanayotarajiwa kufanyika kesho
No comments:
Post a Comment