Afande Sele alikumbwa na dhahama hiyo, Aprili 16, 2009 na kushikiliwa katika kituo hicho kabla ya kuachiwa kwa masharti ya kwenda kuripoti kituoni hapo kila siku saa mbili asubuhi.
Chanzo hicho kikaendelea kudai kuwa, Afande Sele alitenda kosa hilo baada ya kumtaka kimapenzi msichana huyo kwa kumtongoza lakini alipomkatalia ndipo alipochukua uamuzi wa ‘kumwingilia’ kwa mabavu.
Habari zikaendelea kudai kuwa, baada ya tukio hilo, demu huyo alitinga Kituo Kikuu cha Polisi cha mjini Morogoro na kumfungulia mashitaka msanii huyo ambapo maafande wenye hasira na raia wasio wema walikwenda kumtia nguvuni.
Baada ya maelezo ya Kamanda huyo, chanzo likakwea hewani kwa Afande Sele mwenyewe ambapo alipopatikana, kwanza alianza kwa kusema anamshukuru Mungu ‘ishu’ imekwisha kwa yeye kuachiwa huru.
Alisema ameachiwa huru baada ya mtu aliyetenda kitendo hicho aliyemtaja kwa jina la Selemani ambaye ni mwalimu wa shule moja mjini Morogoro, kujulikana na kukamatwa.
“Namshukuru sana Mungu, kesi imekwisha, wao walidhani ni Selemani mimi, kumbe ni Selemani Mwalimu wa wapi sijui, lakini kakamatwa na yupo ndani,” alisema Afande Sele.
Afande Sele aliendelea kudai kuwa, anachojua yeye wabaya wake ndiyo waliompakazia kumtaja yeye kuwa ndiye aliyembaka msichana huyo.
Alisema kuwa, baada ya kufuatwa na askari na kumwambia kuna madai hayo, alikwenda kituoni akiwa ameongozana na mkewe (mama Tunda) ambaye naye alishangaa sana kusikia mumewe alibaka msichana kwani siku mbili nyuma walishinda wote kuanzia asubuhi mpaka muda wa kulala, usiku.

No comments:
Post a Comment