KARIBU SANA

Thursday, March 19, 2009

POMBE SI CHAI

Njemba huyu alinaswa na kamera yetu hivi karibuni akiwa ameegesha gari maeneo ya Temeke baada ya kuuchapa ulabu kisawasawa kiasi cha kushindwa kujitambua.

No comments:

Post a Comment