KARIBU SANA

Tuesday, February 17, 2009

waya wa fibre optic waanza kutandazwa


Wahandisi wa kampuni ya SEACOM Tanzania Limited wakiwa wanafunga kamba ili kuvuta waya ya mawasiliano (fbre optic cable) kutoka ndani ya meli iliyotia nanga bahari ya Hindi ambao utawekwa katika kituo chao kilichopo Kunduchi Jijini Dar



Wafanyakazi ya Kampuni ya SEACOM Tanzania Limited wakiwa wamebeba waya ya mawasiliano (fibre optic cable) kutoka ndani ya meli iliyotia nanga bahari ya Hindi ambao utawekwa katika kituo chao kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam


Mafundi ujenzi wakijenga kituo cha waya ya mawasiliano ( Fibre Optic Cable) cha Kampuni ya SEACOM Tanzania Limited kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo itaanza kutoa huduma hiyo ya kuboresha network nchini mwezi wa sita mwaka huu

No comments:

Post a Comment