KARIBU SANA

Wednesday, February 18, 2009

Chid Benz...

Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini, Rashidi Abdallah ‘Chid Benz’, amedaiwa kumshambulia vibaya kwa kisu Kiongozi wa Msafara wa ‘Mabaunsa’ na timu nzima ya kipindi cha XXL, kinachorushwa na Kituo cha Redio cha Clouds FM cha jijini Dar es Salaam, Othman Lubea walipokuwa mjini Mbeya katika Uzinduzi wa Albamu ya Ruta Maximilian ‘Bushoke’..

No comments:

Post a Comment