KARIBU SANA

Sunday, February 22, 2009

TWANGA SASA YAJA NA SINDIMBA


Usiku wa kuamkia leo bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’ ilitambulisha staili mpya ya Sindimba katika Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar na kuwakuna vilivyo mashabiki wake na kuwaacha wakipiga mayowe ya furaha baada ya kuona viuno vya kufa mtu.
Mwanamiziki Luiza Nyoni akikatika viuno wakati akicheza mtindo wa Sindimba.

AISHA MADINDA AANZA KUPUNGUZA UZITO
Naye mnenguaji bendi hiyo Aisha Mbegu ‘Madinda’ baada ya kuzidiwa na unene usiku wa kuamkia leo amesema ameanza kufanya mazoezi makali ya kupunguza uzito katika Gym iliyopo kituo cha mafuta kilichopo Tume ya Sayansi na Technolojia, pale K’njama jijini Dar.

No comments:

Post a Comment