KARIBU SANA

Saturday, February 28, 2009

PEKECHA PEKECHA!

Mashabiki hawa walinaswa wakipekechapekecha kwa staili hii wakati bendi ya Akudo ilipokuwa ikivurumisha Sebene la kufa mtu ukumbini hapo.

No comments:

Post a Comment