KARIBU SANA

Saturday, February 28, 2009

Makamuzi ndani ya mbeya..ilikuwa nomaa!!!!!!!









HA HA HA HAAAAAAA NGWAIR NI SIMPLE SI TOZI WALA SIO BROTHER MAN HAPO NDIO ANATHIBITISHA KWA BONGE LA UGALI
BUSHOKE NA BACK VOCAL WAKE RAMSON

NGWAIR ANADAI HIYO NDIO TAMU KWA KUKU HAKUNA CHA PAJA WALA KIDARI HA HA HA HA HAAAAA

KWELI ADUI MUOMBEE NJAA KUTOKA KUSHOTO NI VICKY NA MAUNDA










safari ilipoanza kupamba moto kuelekea mbeya.
wakwanza ni squizeer,ngwair na babuu wa kitaa, adam mchomvu na wengine kibao

No comments:

Post a Comment