KARIBU SANA

Wednesday, February 25, 2009

Miss Ruvuma akwapua simu

Miss Ruvuma 2005, Isabella Mpanda ‘Bella’, amedaiwa ‘kukwapua’ simu ya mkononi ya msanii wa filamu, Yusuph Mlela walipokuwa wakipata ‘kilaji’ pamoja katika Ukumbi wa New Msasani Club, jijini Dar, baada ya msanii huyo kunyanyuka kwa lengo la kumsalimia swahiba wake, Rashid Abdallah ‘Chid Benz’ aliyekuwa ametia timu kiwanjani hapo

No comments:

Post a Comment