KARIBU SANA

Tuesday, February 24, 2009

LIYUMBA AIBUKA

Baada ya utata wa mahali alipo Amatus Liyumba na kuzua tetesi kuwa ametoroka, hatimaye utata huo umefutika baada ya Liyumba kuibuka mahakamani leo saa 3 asubuhi. Picha za sakata zima baadae kidogo.

No comments:

Post a Comment