KARIBU SANA

Saturday, February 28, 2009

DIAMOND MUSICA YATOA RAP MPYA

Usiku wa kuamkia leo Bendi ya Diamond Musica ‘Vijana Classic’, walitambulisha rapu yao mpya ya ‘Mwanamke tabia sio bia’ ndani ya Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar, ambayo ilipokelewa kwa shangwe na mashabiki ni waliofurika katika onesho hilo. Pichani muimbaji na rapa wa bendi hiyo , Didier Namba ‘Dume la Mende ‘ akipagawisha mashabiki kwa rapu hiyo.

Squad ya unenguaji ya Diamond Musica ilishambulia jukwaa katika onesho hilo lililofanyika usiku wa kuamkia jan

No comments:

Post a Comment