KARIBU SANA

Friday, January 16, 2009

SOO JIPYA

Lile sakata la wanafunzi wawili wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) cha jijini Mwanza, kujifotoa picha za utupu na kusambaa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini limeibuka kwa sura ya nyuma ya shilingi baada ya kujulikana chanzo cha kuenea kwa picha hizo....

Mbali na sababu hiyo, habari nyingine zinamuelezea mzazi wa msichana mmoja kati ya wawili hao, Nsia Swai walivyo katika wakati mgumu kufuatia picha za binti yao kujitokeza magazetini kila kukipambazuka.Wakati huo huo, habari nyingine zimeanika wasifu wa msichana huyo ‘ei tu zedi’.CHANZO CHA KUVUJA KWA PICHA Inadaiwa kuwa, Nsia Swai baada ya kupiga picha hizo alizihifadhi kwenye Kompyuta yake ya mapajani (Laptop) kwa ajili ya kumbukumbu ya wajukuu zake kama siyo wanae.Habari zaidi zinamiminika na kudai kuwa, siku moja Laptop hiyo iliharibika hivyo akaipeleka kwa mafundi ambao ni watangazaji wa kituo kimoja cha redio, jijini Mwanza. Kwa mujibu wa n’yuzi hizo, baada ya mafundi hao kuitengeza Laptop hiyo, ndipo picha hizo zilipoonekana zikiwa katika hali ya utupu.Habari zaidi zinazidi kutiririka kwamba, baada ya kuziona picha hizo mafundi hao walimtaka mwanafunzi huyo kukata kitita cha shilingi ‘em moja’ (milioni moja) ili wasizisambaze picha hizo kwenye vyombo vya habari.Lakini, habari zinadai, Nsia aliweka wazi kwamba, hawezi kuwashikisha kiasi hicho cha pesa kwa vile ni kingi sana, labda awakatie ‘kilo mbili’ (laki mbili) ndipo mafundi hao walipompa sharti jipya, kwamba kama hana milioni moja ato penzi ili kumaliza soo hilo la aina yake.“Walisema hawakubali shilingi laki mbili, labda atoe penzi, lakini Nsia alikataa, akasema kama suala ni kutoa picha kwenye vyombo vya habari, basi watoe kuliko kuudhalilisha mwili wake kwa sababu ya kuzuia picha tu,” kilisema chanzo chetu.Habari zinazidi kusasambua kwamba, baada ya Nsia kuanika msimamo wake huo, mafundi hao walifanya kweli, ambapo walizituma picha hizo kwenye mtandao maarufu unaodili na matukio ya watu maarufu nchini.

No comments:

Post a Comment