
huu ni usafiri uliozoeleka katika west lake in hangzhou

jiji la hangzhou kwa mbali......

baadhi ya usafiri ukiwa katika foleni katika ziwa la magharibi hapa hangzhou

hiki ni baadhi ya visiwa vidogo vidogo vilivyomo ndani ya ziwa la magharibi

hangzhou tambarale.....
No comments:
Post a Comment