KARIBU SANA

Friday, January 16, 2009

MKWARA MBUZI KWA WENYE MADALADALA HAUTOSHI


Kero ya usafiri wa wanafunzi inaonekana kuzidi kuwa tatizo sugu, licha ya serikali kuwachimba mkwara mbuzi wamiliki wa biashara hiyo, pichani wanafunzi wakiwa wamezuiwa kuingia kwenye daladala linalofanya safari zake kati ya Mwenge na Kariakoo jijini Dar.

No comments:

Post a Comment