KARIBU SANA

Friday, January 16, 2009

DAIMOND KUWAKA MOTO KESHO

Kesho ukumbi wa Diamond Jubilee majira ya jioni utawaka moto wakati miamba wawili wa ndondi hapa nchini, Mbwana Matumla na Francis Miyeyusho, watakapopambana katika uzito wa Bantam (Kg 54) kugombea mkanda wa IBC, pichani Mbwana (kulia) akipima uzito huku Miyeyusho naye akisubiri kupanda mzani katika ukumbi wa Haidees jijini Dar, katikati yao ni Rais wa Shirikisho la Masumbwi hapa nchini, Emanuel Mlundwa.

No comments:

Post a Comment