KARIBU SANA

Tuesday, December 2, 2008

Ufupi wamkosesha ubwabwa 'ROMARIO'

Mwimbaji wa Msondo Music Band, Roman Mng'ande 'Romario' jana alishindwa kula 'ubwabwa', kila alipopewa na Queen Emmy alijikuta bakuli likimfika kifuani, duh! ungekuwa wewe ungefanyaje?

No comments:

Post a Comment