KARIBU SANA

Tuesday, December 2, 2008

KARIBUNI SANA WAPENDWA!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Japan Nchini, aliyemaliza muda wake, Makoto Ito ambaye alikwenda Ofisi ni kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam December 1, kuaga.

Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya ngozi ya Pundamilia Balozi wa Japan nchini aliyemaliza muda wake, Makoto Ito ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam December 1, kuaga.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Ubelgiji nchini, Paul Jansen (katikati) na Ofisa wa Ubalozi wa huo, Marc Riffat (kushoto) kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, December 1, 2008.

No comments:

Post a Comment