
albert mangwair akipagawisha jukwaani katika kuwapa mashabiki wake ile roho napenda

wazee wa habari ndio hiyo na hapo ndio ulikuwa wa utambulisho wa habari ndio hiyo

Mr Blue akiimba wimbo wake mya wa tabasamu,wimbo ambao umetokea kupendwa sana na mashabiki wa muziki hapo bongo land

Prof J akikamua kama kawaida yake mtu mzima hatishiwi nyau...
No comments:
Post a Comment