
fat joe akishambulia jukwaa kama nyuki ,kuleta flava kwa wadau waliofika katika maonesho hayo

FAT JOE akiimba katika onesho hilo

wadau kibao kama wanavyoenekana wakiwa na furaha katika onesho ambalo lilijumuisha mastaa kibao wa muziki

mashabiki wakimshangilia EVE wakati akishusha vitu katika onesho hilo la likizo tyme ambalo lilifana sana.

mwana dada EVE akishambulia jukwaa kama kawaida
No comments:
Post a Comment