KARIBU SANA

Friday, December 5, 2008

RITA MLAKI KIKUKU MGUUNI SAA 24


Mwanamama anayekwenda ‘kisasa’ zaidi licha ya umri wake kuanza kuzamia Magharibi, Rita Mlaki anaendelea kuwaduwaza watu anaokutana nao kwa tabia yake ya kupenda kuvaa cheni moja mguuni ambayo ni maarufu kwa jina la Kikukuu, Ijumaa limebaini...

1 comment:

  1. Mzee kazi ni nzuri ila sasa unakopy mno tena kutoka kwenye vyanzo ambavyo vipo so common hivyo inafanya mtu aione maana ya kutembelea blog yako kwani watu huwa tayari wameshasoma mablog au magazeti tayari.
    Ukiachilia hayo mimi nakupa bigup kaka

    ReplyDelete