
..Joe thomas akiongea na media

Mwakilishi wa MTV Base Tanzania, Seven Mosha (kulia), akisalimiana na msanii Tanto Metro mara baada ya press Conference iliyofanyika Hotel Kempinsky jioni ya leo kuhusu onesho la muziki watakalofanya wasanii hao kesho jijini Dar es salaam. Wanamuziki hao wameletwa nchini na E-Masters kwa ajili ya tamasha la Likizo Tyme 2008.
No comments:
Post a Comment