KARIBU SANA

Monday, December 1, 2008

NYUMBA NDOGO KIDOGO EPA...

Taaban
Mashitaka ya wizi yanayomkabili mista wake yampa uchizi, presha yamuweka pagumu, azimika baada y a kufakamia klaji kutuliza mawazo


Wakati hali ikiwa si shwari kwa washukiwa mbalimbali wa utafunaji wa noti za wananchi a.k.a mafisadi, mwanamke anayedaiwa kuwa ni nyumba ndogo ya mmoja wa watuhumiwa waliochota fedha za EPA yupo taaban...

No comments:

Post a Comment