KARIBU SANA

Tuesday, December 2, 2008


Baadhi ya wakazi wa Mbagala, Dar es Salaam wakipata shida kuvuka katika daraja ambalo halijakamilika kutokana na kukatika kwa mawasiliano kulikosababishwa na mvua zinazonyesha kuanzia wiki hii.

No comments:

Post a Comment