Jeneza ambalo umelala mwili wa marehemu Hery Magange likiwa na picha ya wakati wa uhai wake kabla ya waombolezaji kuuwaga mwili wake.Majonzi, simanzi vilio vyatawala katika msiba wa mpigapicha wa kituo cha televisheni cha channel ten, Hery Makange (32) kilichotokea kwa ajali ya pikipiki huko maeneo ya Tegeta, nje kidogo mwa jiji la Dar es Salaam.



No comments:
Post a Comment