KARIBU SANA

Thursday, December 4, 2008

KIPINDUPINDU NJENJE

Baadhi ya wafanyabiashara ya mbogamboga wakiwa wametandaza chini bidhaa zao nje ya soko dogo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam.Mazingira machafu kama haya yanaweza kusababisha magonjwa ya miripuko hasa Kipindupindu na hivyo kuhatarisha afya za walaji.

No comments:

Post a Comment