KARIBU SANA

Thursday, December 4, 2008

ALBINO HUYU KWA MAUNO BALAA!

Mwanadada albino aliyejitambulisha kwa jina moja la Angel jana alifanya kufuru baada ya kukata nyonga za kufa mtu na kuwatoa midume udenda katika siku ya watu wenye ulemavu duniani, ambayo hapa nchini ilifanyika Mnazi Mmoja jijini Dar jana.

No comments:

Post a Comment