
wakinadada hawa waliokwisha shiba baada yakupika na kuvila wenyewe! wakiwa katika maongezi ambayo mdau alitutonya kuwa ni marumbano huyo dada akisema 'mwajali sana matumbo yenu kuliko kuonesha watu hivyo tulivyovipika' hii ni balaa ...!!!!!

wengine kama wanavyo onekana hapo waliamua kujizima mdogomdogo huku wakipata muziki ili kumalizia libeneke la culture festival.
No comments:
Post a Comment