KARIBU SANA

Wednesday, November 26, 2008

Zain MD


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Zain Tanzania, Khalid Muhtadi (aliyesimama) akitoa mada wakati wa mkutano na ujumbe wa wawekezaji kutoka Sweden kwenye Hoteli ya Movenpick Royal Palm, Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Staffan Herrstrom.

No comments:

Post a Comment