KARIBU SANA

Wednesday, November 26, 2008

Miss anayedaiwa kuvuruga ndoa

Mshiriki wa kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2008, ambaye pia ni Miss Bagamoyo 2008, Jacqueline Chuwa anadaiwa kuvuruga ndoa ya Msanii wa Uganda, Joseph Manyaja ‘Chamelione’,wadau watudokeza.

No comments:

Post a Comment