KARIBU SANA

Showing posts with label nizzo. Show all posts
Showing posts with label nizzo. Show all posts

Monday, December 1, 2008

Ilikuwa balaa tupu!! Banda lakimbiwa nawenyewe!!!

banda lakimbiwa!! wenyeji watimkia mabanda mengine kukwepa aibu ndani ya banda hilo
banda hili liliachwa solemba na wenyewe ,ni baada ya kile tunachoita kukosa chochote cha maonesho mbele ya wadau kutokana matayarisho mabovu,kutoshirikiana kwao n.k.tuliepuke hili watanzania hii ni aibu.

Sunday, November 30, 2008

Nchi nyingine hazikuwa nyuma pia

Mamo ya wahabeshi hawakuwa nyuma pia

hili ni banda ambalo lili kuwa kivutio kikubwa na mabinti(wasichana)katika mambo ya michoro katika mwili kwa mwakani hata sisi haya mambo nafikiri yana wezekana nafikiri watu wote mnanipata haya kazii hii na mwachia BABA JEI

kama anayoenakana hapo dada huyo akiteta na mdau kuhusu yaliyo kuwemo katika banda hilo
ze Obama walikuwepo pia
kuwepo kwao hapo bandani kulikuwa kivuti kwa watu tofauti katika banda hilo

wakitoa hunduma katika banda lao
hapani japan.....
wakiangalia kazi yao mkwa umakini kabisa ili kukidhi mahitaji ya watazamaji
kazi ya wahindi hiyo
HAPA TUKIZUBAA TU!! TUTAACHWA SOLEMBA (senegali na Ivory coast)hawakuwa nyumba katika kukata mauno
hatokimtu hapa!!!
kulikuwa na kila style katika mabanda tofauti katika kuvutia wwtu kaika mabanda yao,kamawanavyoonekana hapo wa gaboni wakiyarudi majoka

wadau katika culture festival

watu walikuwa wana shauku ya kujua kila kitu hadi wengine wakilazimisha hata kununua ila kwa bahati mbaya vitu hivyo vilikuwa vichache kwa ajiri ya maonesho tu.so next time najua tutabadilika kwa hilo ili kufanya biashara kama kawa mwenyekiti ananipata hapo..
mdau Dr Ali akitoa maelezo ya baadhi ya picha zilizo kuwa zimebandikwa katika banda hilo,ambazo pia zilikuwa kivutio kikubwa katika festival hiyo.


hapa ni mdau na mwenyekiti wakiteta jambo katika shughuli hiyo,kama unavyo ona watu wkiwa wemezonga sana banda hilo
kama wanayoonekana katika picha ,wadau mbalimbali wakipata mahanjumati ya kibongokwa kweli wuhan nzima wanazimia mahanjumati hayo.kila party ya kibongo wazamiaji kibao kikubwa kama tulivyo zoea cio mabinti! ila ndo hayo mahanju!
na fulani.

Saturday, November 29, 2008

BANDA LA WABONGO


wadau wakiendeleza l;ibeneke katika kuto service iliyotarajiwa na wateja wao,
wakidada wote wa wuhan mnapewa hongera na wadau wote wa hapa wuhani kwa kujitole katika shughuli hizi za kutangaza taifaletu.
watu wakiwa katika pilika za hapa na pale wengine wkishangaa shangaa kinachoendelea katika banda hilo,fulani naye alikuwepo akiwa katika pilikapilika katika kufanikisha kufana kwa banda hilo pekee




Banda hili lilipata mafanikio baada ya kukusanya watu kibao,watu wa mataifa mengi walivutiwa na kile walicho kuwa wakikiona katika banda hilo

CULTURE FESTIVAL


Watu wa mataifa mbali mbali walishiliki katika tamasha hilo lililofanyika hapo CHINA katika mji wa Wuhan