Kufuatia kuadimika kwa nishati ya mafuta Jijini Dar es Salaam kutokana na mgomo baridi wa wamiliki wa ituo vya mafuta unaoendelea, neema ya kusafirisha mizigo imewaangukia watu wenye mikokoteni na maguta ambao hivi sasa wamedai kuwa hawalali njaa kutokana na kukamatia dili kwa saana tu.
NDEJEMBI ATAJA VIPAUMBELE SITA COP12
10 hours ago

No comments:
Post a Comment