KARIBU SANA

Monday, December 15, 2008


Watoto ambao walijitambulisha wanasoma shule ya msingi Dunda, wakipaa samaki katika ufukwe wa magomeni Bagamoyo mkoa wa Pwani,i kiwa ni kutafuta fedha za kununulia yunifomu za shule.

No comments:

Post a Comment