KARIBU SANA

Monday, December 8, 2008

UNAKULAGAAA...!!!!!!!!!!!

Mademu wakijiachia kwa staili ya mbinuko katika Bonanza la Bendi ya Akudo Impact lililofanyika Viwanja vya Msasani Beach Club jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment