KARIBU SANA

Wednesday, December 17, 2008

Mhehimiwa TEMBA sasa hayupo hayupo

Mheshimiwa temba siku alipo achana na ukapera na kufunga pingu za maisha 'ndoa' .Katika kuonesha kwamba Wanaume Halisi na Wanaume TMK wako pamoja, baadhi ya wasanii wa Kundi la Wanaume Halisi walitinga katika harusi ya Amani James Temba ‘Mheshimiwa Temba’ iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Princess, uliyopo Sinza, Dar es Salaam,...

No comments:

Post a Comment