KARIBU SANA

Saturday, December 13, 2008

MAALBINO BURE, DIAMOND MUZIKA

Bendi ya Diamond Muzika imetoa ofa kwa maalbino wote nchini kuingia bure katika matamasha yao, wakati wakimtambulisha mwimbaji wao mpya albino pichani aitwae Exevian (John Super Black) usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Mango Garden.

Baada ya kumtambulisha albino huyo wanenguaji wa bendi hiyo nao walifanya makamuzi ya kufa mtu kama wanavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment