KARIBU SANA

Monday, December 8, 2008

LIKIZO..... MFUNIKO! ukaribisho wa mastaa FAT JOE & EVE

EVE akijumuika pamoja na wadau katika kuyarudi mangoma yaliyo kuwa yanashushwa kutoka kwa ma DJ mahiri
DJ wa EVE na wale wa clouds FM wakiporomosha mawe mazito mazito kudatisha mashabiki waliofika katika party hiyo ya ukaribisho
Fat joe akiwa na wenyeji katika picha ya pamoja kama wanayoonekana

No comments:

Post a Comment