Kabla ya Ze Comedy kulikuwa na Kingwendu aka. Kingwendu Kingwendulile (pichani). Yeye ni mchekshaji wa siku nyingi huko Tanzania. Anavyoongea inachekesha pia. Fani la uchekeshaji kinshamiri huko Bongo siku hizi. Watu wanauliza mbona hawamwoni Kingwendu zaidi?
NDEJEMBI ATAJA VIPAUMBELE SITA COP12
10 hours ago

No comments:
Post a Comment