nenguaji mahiri wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma', Suzan Chuwa maarufu kama Queen Suzzy akiwa amemdandia shabiki baada ya kupandwa na mzuka katika onesho la bendi hiyo lililofanyika Kijiji cha Makumbusho jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
TUGHE: KATIBU MKUU MPYA KUTOKOMEZA UZEMBE KATIKA UTENDAJI
10 minutes ago

No comments:
Post a Comment