KARIBU SANA

Wednesday, April 29, 2009

MBAGALA!!..MBAGALAAAAA!! ...KIZAAZAA...!!!

...askari wa Kikosi cha zimamoto wakielekea eneo la tukio
..eneo la Mtoni Kwa Azizi Ally kuelekea mabomu yanakolipuka
...baadhi ya wakazi wa maeneo ya jirani wakiwa juu ya Daraja la Mbagala wakiangalia sekeseke hilo
Wakazi wa eneo la Mto Mzinga, kilomita 15 kutoka ghala la siliha lililoripuka wakiwa wameokota bomu lililoangukia Mto Mzinga baada ya kuripuka.(wabongo vita bado kama unavyoona pichani wadau wakiwa katika picha ya pamoja na kipande cha bomo...... hawatambui kama kuna madhara yoyote wana weza kupata,elimu inahitajika kwa watanzania)
..moja ya vipande vya mabomu hayo
..kijana huyu alikuwa hajiwezi kutembea hivyo kupakiwa kwenye mkokoteni baada ya kuvunjwa mguu wake wa kulia na bomu.
..Kamishna wa Oparesheni wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja akiongea na BBC eneo la tukio
..wasamaria wema wakimbeba mwanadada huyu aliyepoteza fahamu kwenye mkokotena ili kumuwahisha hospitali
DCI Manumba (kulia) nae aliwasili eneo la tukio kujionea hali halisi
...mama huyu anaangua kilio baada ya kumpoteza mtoto wake mdogo wa MIEZI MINNE wakati wa hekaheka ya kukimbia milipuko ya mabomu!

No comments:

Post a Comment