
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kiatu wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza viatu katika Gereza la Karanga mjini Moshi akiwa katika ziara ya mkoa wa Kilimanjaro, Februari 18,2009. Kushoto ni Kaimu Kamishina Mkuu wa Magereza, Aziza Mulisali na kulia ni mkuu wa kiwanda hicho, Ilinius Ngonyani.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kiatu wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza viatu katika Gereza la Karanga mjini Moshi akiwa katika ziara ya mkoa wa Kilimanjaro, Februari 18,2009. Kushoto ni mkuu wa kiwanda hicho, Ilinius Ngonyani na kulia kwa Waziri Mkuu ni Kaimu Kamishina Mkuu wa Magereza, Aziza Mulisali.
No comments:
Post a Comment