KARIBU SANA

Monday, December 1, 2008

Shoo T respect yakusanya mastaa kibao

Stadi wa filamu Tanzania, Steven Charles Kanumba (kushoto) akisalimiaka na mkali wa Bongo Flava, Hamis Baba ‘H Baba’ walipokutana jana kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, Dar es Salaam ambapo Bendi ya Tanzania One Theatre heshima ‘T Respect’ ilipokuwa ikiwapa raha wapenzi mbalimbali wa dansi.

Ndada Kosovo (kushoto) akibadilishana mawazo na galacha wa Bongo Flava, Hamis Ramadhan Baba ‘H Baba’ walipokutana jana usiku kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, Dar es Salaam wakati Bendi ya T Respect ilipokuwa ikifanya makamuzi.

Mashabiki wa T Respect hupata vitu adimu kama hivi kutoka kwa wanenguaji mahiri wa bendi hiyo kama alivyonaswa na digital yetu mnenguaji huyu jana kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment