
Baadhi ya wananchi wakifuatilia Sherehe za miaka 47 ya Uhuru katika Uwanja wa Taifa Leo.

Baadhi ya Askari wa Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa katika Gwaride kwenye Sherehe za miaka 47 ya Uhuru, yaliofanyika leo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment