Mtangazaji maarufu wa kituo cha Redio na Luninga, cha East Africa cha jijini Dar usiku wa kuamkia jana alinaswa na kamera ndani ya ukumbi wa Mango Garden jijini amejiachia na Sauda Mwilima wa Star Tv (Kulia) huku akiwa na kipete kama cha ndoa vile?!
NACTVET yaagiza vyuo kufuata utaratibu
5 hours ago

No comments:
Post a Comment