
EVE akijumuika pamoja na wadau katika kuyarudi mangoma yaliyo kuwa yanashushwa kutoka kwa ma DJ mahiri

DJ wa EVE na wale wa clouds FM wakiporomosha mawe mazito mazito kudatisha mashabiki waliofika katika party hiyo ya ukaribisho

Fat joe akiwa na wenyeji katika picha ya pamoja kama wanayoonekana
No comments:
Post a Comment