KARIBU SANA

Wednesday, December 24, 2008

HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA(圣诞节 快了)

Merry Christmas And Happy New Year!

Wakristo wote hapa ulimwenguni kesho watasherekea krismasi,fulani pamaja na wadau wote hapa China tuna watakia krismas njema(hii ni sherehe ya kuzaliwa kwa yesu kristo)wadau wote nawaomba tumkumbuke mungu kwa kufanya sala kila siku.
nawatakia krismasi njema

1 comment:

  1. kaka unalala mkuu,leo ni tarehe 2 january bado unatuwekea picha ya christmass sasa tukuelewaje? au kazi imekushinda?

    ReplyDelete