Mfanyabishara maarufu hapa nchini aliyefahamika kwa jina moja la Mzee wa Dubai akimsarandia mnenguaji wa Msondo Music Band Queen Emmy aliyebong'olea hapo chini katika onesho lililofanyika ukumbi wa Africentre jijini Dar jana.
NACTVET yaagiza vyuo kufuata utaratibu
6 hours ago

No comments:
Post a Comment