KARIBU SANA

Wednesday, November 26, 2008

Ze comedy na Ufisadi

Wasanii wa ze comedy wakicheza kama watuhumiwa wa ufisadi nje ya mahakama ya hakimu mkazi ya kisutu wakati kesi ya wah. yona na mramba ikisomwa ndani. inasemekana kipindi hicho kitarushwa alhamisi hii kuanzia saa moja jio

No comments:

Post a Comment