Siku chache baada ya baadhi ya watuhumiwa wa wizi wa fedha katika Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA), kufikishwa mahakamani, hali imezidi kuwa tete ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ambapo vigogo kadhaa wameanikwa hadharani kwa wachunguzi wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) na wale wa Usalama wa Taifa...
Tuesday, November 25, 2008
EPA yalipuka
Siku chache baada ya baadhi ya watuhumiwa wa wizi wa fedha katika Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA), kufikishwa mahakamani, hali imezidi kuwa tete ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ambapo vigogo kadhaa wameanikwa hadharani kwa wachunguzi wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) na wale wa Usalama wa Taifa...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment